ZIJUE FAIDA ZA KULA KABEJI MWILINI, BENEFIT OF EATING CABBAGE
Makala hii inaelezea na kufafanua Faida mbalimbali za kabaji mwilini. Kabeji ni aina ya mboga ya Majani ambayo huchumwa na kuandaliwa kama mbogamboga zingine, watu wengi huwa haiwependelei sana kama mboga zingine za majani zinavyo pendelewa. Mboga aina ya kabeji zina faida nyingi kwenye zaidi tofauti ambavyo wanavyo ichukulia ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KABEJI MWILINI. 1. INAKIONDOSHA SUMU MWILINI. Vitamini C na sulfur inayo patikana katika kabeji ina saidia kuondoa sumu mwilini, viambatana SUMU ni kama kama vile free radical na uric acid katika mwili., inayo pelekea uharibifu wa cell katika mwili. Vitamini C na Sulfur husaidia kukinga cell isiharibiwe na viambata sumu kwa kuviondoa nje ya mwili. 2. KUPUNGUZA SHINIKIZO LA DAMU. (BLOOD PRESSURE.) Kiwango kingi cha madini ya potassium katika mwili yanasaidia kupunguza na kuweka mlinganyo msukumo wa damu katika hali yake nzuri kwa kuingiliana na madhara ya sababishwayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha madini ya Sodium katika ...